إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 2
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 2
5- Atakayevaa hariri duniani hatoivaa Akhera
8- Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
17- “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma
24- Mahala pa karibu zaidi anapokuwa Mola Mlezi na mja ni katikati ya usiku wa mwisho
56- Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
60- Wamepata ushindi wenye kujitenga
64- Umma wangu wote unasamehewa isipokuwa wenye kutangaza wazi madhambi
65- Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama
66- Asife mmoja wenu isipokuwa afe katika hali ya kumdhania vizuri Mwenyezi Mungu
74- Mfano wa yule anayemtaja Mola wake na yule asiyemtaja Mola wake, ni mfano wa aliyehai na aliyekufa
81- Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi
86- Kuwa duniani kama msafiri au mpitanjia
87- Ulimi wako usiache kuwa mbichi kwa kumtaja Mwenyezi Mungu
88- Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake
89- Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri
93- Bahili ni yule ambaye nitatajwa mbele yake, akawa hakuniswalia
95- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
96- Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
97- Ewe Mwenyezi Mungu nitengenezee dini yangu ambayo ndiyo kinga ya jambo langu
99- Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba unipe afya katika Dunia na Akhera
