إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 4
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 4
42- Enyi watu, tubieni kwa Mwenyezi Mungu, kwani mimi ninatubia kwa siku mara mia moja
44- Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji ni kama kuhama kuja kwangu
47- Atakapopiga mwayo mmoja wenu basi na ashike mkono wake juu ya kinywa chake, kwani Shetani huingia
50- Hamtazami Mwenyezi Mungu mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi
51- Neema mbili wamepoteza thamani yake watu wengi: Afya na wakati
53- Hakika watoa laana hawatokuwa mashahidi wala watetezi siku ya Kiyama
62- Kiapo hutoa bidhaa, na hufuta faida
66- Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaachana
69- Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo
79- Atakayejirusha kutoka juu ya mlima akajiua basi huyo atakuwa motoni akijirusha humo milele na milele
