إعدادات العرض
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 3
Mambo mazuri na Adabu- Heshima. - الصفحة 3
6- Bwana wa Istighfari (Dua ya kuomba msamaha)
17- Je mnajua ni nani aliyefilisika?
25- Asiangalie mwanaume katika uchi wa mwanaume mwenzie, wala mwanamke kutazama uchi wa mwanamke mwenzie
35- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
36- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
37- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
38- Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni
41- Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
51- Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
52- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
53- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
58- Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu
60- Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wala muovu wala mwenye kauli chafu
87- Ipe nyongo dunia Allah atakupenda ,na usivitolee macho vitu vya watu, watu watakupenda
