إعدادات العرض
Akida- Itikadi- - الصفحة 2
Akida- Itikadi- - الصفحة 2
11- Nimepewa mambo matano ambavyo hakupewa mtu mwingine miongoni mwa Manabii kabla yangu
14- Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
15- Kafaulu ikiwa atakuwa mkweli
16- “Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa
18- Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama
33- “Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
35- Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake mtafuata nyenendo za wale waliokuwa kabla yenu
38- kanipinga mwanadamu na hakustahiki kufanya hivyo, na amenitukana na hakustahiki kufanya hivyo
41- Je mnajua ni nani aliyefilisika?
44- Atakayetundika hirizi atakuwa kafanya ushirikina
48- Hawaingii Malaika nyumba ambayo ndani yake kuna mbwa au picha
49- Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa au kengele
50- Msiape kwa masanamu, wala kwa baba zenu
51- Atakayeiapia amana basi huyo si miongoni mwetu
58- Hassan na Hussein ni mabosi wa vijana wa peponi
61- na hakika yeye hajawahi kusema hata siku moja: Ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu siku ya Kiyama
67- Umekwisha pokea malipo yako kutokana na mema uliyoyatanguliza
71- Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
75- Hakitosimama kiyama mpaka zama zikaribiane
80- Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe
81- Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
84- Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
85- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
88- Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini
89- Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
91- Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?
92- Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
94- Nenda kwamwambie: Wewe si miongoni mwa watu wa motoni, bali ni katika watu wa peponi
95- Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
97- Andika, namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakitoki ndani yake ila haki
98- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
