إعدادات العرض
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. - الصفحة 2
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. - الصفحة 2
3- Mtakapouona basi fungeni, na mtakapouona basi fungueni, ukifunikwa kwenu nyinyi basi ukadirieni
9- Hana swala yeyote ambaye hakusoma sura kifunguzi cha kitabu (suratul faatiha)
11- Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
17- Kamwe, hatoingia motoni mtu yeyote aliyeswali kabla ya kuchomoza Jua na kabla ya kuzama kwake
23- Ni safi Maji yake na ni halali mizoga yake
24- Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu
30- Tulikuwa hatuchukulii maji maji ya kahawia na njano baada ya twahara kuwa ni chochote
31- Kaa kiasi cha siku ambazo ilikuwa ikidumu hedhi yako, kisha oga
33- Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake
36- Asiswali mmoja wenu katika nguo moja ambayo hakuna chochote mabegani mwake
38- Utakaposujudu basi weka viganja vyako, na unyanyue viwiko vyako
51- Wapigeni vita washirikina kwa mali zenu na nafsi zenu na ndimi zenu
53- Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
54- na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
55- Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitawadha kila wakati wa swala
56- Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
57- Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili
61- Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema
64- Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
66- Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo
67- Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu
72- Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi
79- Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.”
